Atazidi Kuitwa

Atazidi Kuitwa
ChoirSt. Veronica Kariakor Dar-es-salaam
AlbumKama Nyuki
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerR. Masanja

Atazidi Kuitwa Lyrics

Atazidi kuitwa Yesu Mwana wa Maria milele *2
Yesu mwana wa Mungu, (atazidi kuitwa . . .)
ni mwana wa Maria milele *2

  1. Yeye ni mwamba, kinga na ngome yangu
  2. Tabibu wangu, mwili na roho yangu
  3. Nitamwimbia zaburi alfajiri
  4. Vizazi vyote vitamtumikia
  5. Njooni wafalme, huyu ni Mungu wetu
  6. Njooni tucheze, ngoma na tarumbeta