Furahini Jerusalemu

Furahini Jerusalemu
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerJ. C. Shomaly

Furahini Jerusalemu Lyrics

Furahi ee Yerusalemu, furahi na tena
{Mshangilieni nyinyi nyote mmpendao
Nyinyi mliao kwa ajili yake } * 2

  1. Mpate kushiba na kunyonya, kushibishwa maziwa
    Na maziwa ya faraja faraja zake Kristu.
  2. Furahieni fadhili zake, fadhili zake Mumba wetu
    Kwa ajili ya faraja faraja zake Kristu