Kristu Mfalme

Kristu Mfalme
ChoirSt. Don Bosco Mirerani
AlbumIkulu ya Mbinguni
CategoryKristu Mfalme (Christ the King)
ComposerBernard Mukasa

Kristu Mfalme Lyrics

 1. Ulimwengu unakiri mbingu zinahubiri
  Kwamba yeye ni mwanzo na kwamba
  huyo huyo ni mwisho
  Kwa kuwa huyo ni Alfa na bado ni Omega
  Kwamba yeye ni mwanzo na kwamba
  huyo huyo ni mwisho

  Huyu mtukufu, ndiye Kristu mfalme *2
  Mtawala wa upendo, yeye Kristu
  Ajitoaye sadaka, yeye Kristu
  Huyu mtukufu, ndiye Kristu mfalme

 2. Anatawala dunia anamiliki mbingu . . .
  Aliyekuwapo mwanzo, aliyepo na ajaye . . .
 3. Anayesujudiwa na watawala wa nchi . . .
  Anayewadhamini hata wamkataao . . .
 4. Tuliyemjengea nyumba ya kumtukuza . . .
  Akavutiwa nayo- na ameibariki . . .
 5. Tuingie kwa shangwe twende kumshangilia.. .
  Turukeruke nyumba tufurahi na malaika. .