Nitajongea Altare Yako

Nitajongea Altare Yako
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)

Nitajongea Altare Yako Lyrics

Nitajongea altare yako,
Furaha yangu na heri yangu siku zote

 1. Peleka mwanga wako wa uaminifu wako
  Viniongoze vinipeleke kwako,
  katika hekalu lako takatifu
 2. Nami nitajongea altare ya Mungu
  Mungu wa furaha yangu nami nitakusifu
  Moyo wangu kwani wasikitika
 3. Nafsi yangu kwa nini kuinama na kufadhaika
  Umtumaini Mungu, kwani yeye ndiye nguvu zako
 4. Sifa kwa Baba na mwana na Roho Mtakatifu
  Kama toka mwanzo, na sasa na milele. amina.