Sakramenti Kubwa Hiyo

Sakramenti Kubwa Hiyo
ChoirSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerSt. Thomas Aquinas
Musical Notes
Timesignature3 4
MusickeyG Major
NotesOpen PDF

Sakramenti Kubwa Hiyo Lyrics

1 Sakramenti kubwa hiyo, twaheshimu kifudi
Na sheria ya zamani, ikomeshwe na hiyo
Yafichikayo machoni, imani huyaona *2

2 Mungu Baba Mungu mwana asifiwe kwa shangwe
Kwa heshima atukuzwe, pia aabudiwe
Mungu Roho Mtakatifu vile sifa apate *2

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442