Ninakushukuru Bwana

Ninakushukuru Bwana
ChoirSt. Don Bosco Mirerani
AlbumIkulu ya Mbinguni
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerS. J. Kajala

Ninakushukuru Bwana Lyrics

 1. Ninakushukuru Bwana kwa upendo wako
  Ninakushukuru Bwana kwa huruma yako
  Uliteseka ee Bwana kwa ajili yangu mimi
  Ulikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu

  (Ni wewe) ni wewe (Bwana)
  Ni wewe ni wewe Bwana
  (Ni wewe) ni wewe (Bwana)
  Ni wewe ni wewe Mwokozi wangu

 2. Umenijalia Bwana neema zako tele
  Ninaishi bila hofu hapa duniani
  Kwa kujitolea kwako kwa ajili yangu mimi
  Ukapoteza uhai wako unikomboe mimi.

  (Ni wewe) ni wewe (Bwana)
  Ni wewe ni wewe Bwana
  (Ni wewe) ni wewe (Bwana)
  Ni wewe ni wewe Mwokozi wangu