Bwana Alikuwa Tegemeo

Bwana Alikuwa Tegemeo
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumMSHIPI (VOL. 22)
CategoryZaburi
ComposerA. Mdango
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
ReferencePs. 18
Musical Notes
Timesignature3 8
MusickeyE Flat Major
NotesOpen PDF

Bwana Alikuwa Tegemeo Lyrics


Bwana alikuwa tegemeo langu *2
{ Akanitoa kanipeleka panapo nafasi
Akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami } *2


1. Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu,
Maana nimezishika njia zake wala sikumwasi Mungu

2. Nikayashika maagizo, sikuziacha amri zake,
Mbele zake sikuwa na hatia nikalinda wema wangu

3. Nikashika maadili sikuliacha Neno lake
Nikapendezwa nazo amri zake nikalinda Neno lake.

4. Basi atukuzwe Baba pia atukuzwe Mwana
Naye Roho Mtakatifu tangu sasa na hata milele

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442