Furahini Siku Zote

Furahini Siku Zote
ChoirSt. Mary Viane Bulanda Busia
AlbumKaribuni Busia
CategoryTafakari
ComposerJ. C. Shomaly

Furahini Siku Zote Lyrics

{Furahini siku zote, ombeni bila mwisho
Shukuruni kwa kila jambo
maana hayo ni mapenzi ya Mungu wetu } * 2

 1. Tutubuni na kusali
  tuombeni na baraka
  Tudumishe familia
 2. Unapopatwa na shida,
  si mwisho wa roho yako
  Shukuruni na kuomba
 3. Matendo yenu mazuri,
  yawe kitulizo kwenu
  Kwa kusali na kuomba
 4. Baraka anazo Mungu,
  aombaye atapewa
  Shukuruni na kuomba