Kanisa la Bwana

Kanisa la Bwana
Choir-
CategoryFaith
SourceKenya Music Festivals

Kanisa la Bwana Lyrics

Kanisa la Bwana litasimama
Kanisa la Bwana litasimama
Waktwaati wote wa majaribu
Wakati wote wa hukumu1. Kwa kuwa limejengwa kwa mwamba imara
Limejengwa kwa mwamba imara, imara
Hata mawimbi mabaya yakivuma
Kanisa la Bwana litasimama

2. Ndani ya mwamba huo nitajificha
Wakati adui anaponivamia
Nitajificha penye utakatifu
Ndani ya nyumba ya Mungu wa milele

3. Kwa kuwa limelindwa na roho wa Mungu,
Limelindwa na roho wa Mungu, wa Mungu
Hata shetani aje akinguruma
Kanisa la Bwana litasimama
Hata shetani aje kwa vishindo
Kanisa la Bwana litasimama
Hata shetani aje kwa ujanja
Kanisa la Bwana litasimama,
Daima na milele

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442