Toa Kwanza Boriti

Toa Kwanza Boriti
ChoirSt. Bernardette Kisii
CategoryMafundisho ya Yesu
ReferenceMt. 7

Toa Kwanza Boriti Lyrics


Toa kwanza boriti ndani ya jicho lako
Ndipo uone kibanzi ndani ya jicho la ndugu yako
{Maana utamwambiaje, utamwambiaje nduguyo
Hebu nikitoe kibanzi, ndani ndani ya jicho lako
(Na kumbe mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe) *2}1. Msihukumu msije mkahukumiwa nyinyi
Hukumu mhukumuyo ndiyo mtahukumiwa nyinyi
Kipimo mpimiacho ndicho mtakachopimiwa

2. Ombeni nanyi mtapewa/ tafuteni nanyi mtaona/
Bisheni nanyi mtafunguliwa

Basi yoyote myatakayo mtendewe na watu/
nanyi watendeeni vivyo hivyo
Maana hiyo ndiyo torati ya manabii

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442