Habari Ndiyo Hiyo

Habari Ndiyo Hiyo
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumUshuhuda Tosha
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerJ. C. Shomaly
Views3,775

Habari Ndiyo Hiyo Lyrics

  1. { Habari nd`o hiyo, habari habari habari,
    Habari, habari, sikilize-ni habari } *2
    { Tumeokolewa, tuna haki ya kuhubiri
    Mingi mijadala, ya nini itutie hofu
    Inachemsha chemsha, inachanganya changanya
    (Habari nd`o hiyo) habari tunayoamini ni Yesu } *2

  2. [ s ] Alikufa na akazikwa na sisi tunaamini,
    Ya kwamba Yesu ni mwalimu tena kuhani mkuu
  3. Tumeupata ukombozi, na sisi tunaamini,
    Ya kwamba Yesu ni mwalimu tena kuhani mkuu
  4. Bibilia inatambua na sisi tunaamini
    Ya kwamba Yesu ni mwalimu tena kuhani mkuu