Hiki Ndicho Kizazi

Hiki Ndicho Kizazi
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumUshuhuda Tosha
CategoryZaburi
ComposerJ. C. Shomaly
ReferencePs. 24

Hiki Ndicho Kizazi Lyrics

Hiki ndicho kizazi cha wakutafutao ee Mungu wetu *2
{ Cha wakutafutao uso wako ee Mungu wa Yakobo
Hiki ndicho, hiki ndicho kizazi cha wakutafutao Mungu } *2


1. Ee Bwana ulinijua tangu tumbo-ni
Wewe unayajua maneno ya-ngu

2. Mchana na usiku umekuwa kinga
Ee Mungu Mungu wangu nitakusifu

3. Nitakusifu mimi siku zote ee Mungu
Unibariki Bwana daima milele

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442