Sikuja Kutangua Torati
Sikuja Kutangua Torati | |
---|---|
Choir | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Ushuhuda Tosha |
Category | Mafundisho ya Yesu |
Composer | J. C. Shomaly |
Reference | Mt. 5 |
Sikuja Kutangua Torati Lyrics
{ Sikuja kuitangua torati au manabii *2
La! Siku-ja, sikuja kutangua
Bali kuitimiliza bali kuitimiliza } *2
1. [ s ] Yesu aliyasema hayo akimaanisha, seria itimizwe,
Hata yodi moja na nukta moja, ya torati haitapita
2. [ t/b ] Na sisi inatubidi kuzitii sheria za Mungu siku zote,
Kuiba kudhulumu ni kuvunja sheria, alizoweka Mungu
3. [ s ] Yesu aliyasema hayo akimaanisha, sheria tutimize,
Uvivu na uchawi ni kuvunja sheria, alizoziweka Mungu
Favorite Catholic Skiza Tunes
SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.
Title | SKIZA ID |
Cha Kutumaini Sina | 5814855 |
Roho Yangu na Ikuimbie | 5814859 |
Nikupe Nini Mungu Wangu | 7482438 |
Sasa Wakati Umefika | 7482439 |
Utukuzwe Ewe Baba | 7482441 |
Nitakwenda Mimi Mwenyewe | 7482440 |
Zaeni Matunda Mema | 5814860 |
Huniongoza Mwokozi | 5814856 |
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu | 7482444 |
Tazama Tazama | 7482442 |