Ee Bwana Twakuomba Upokee Lyrics

EE BWANA TWAKUOMBA UPOKEE

@ P. F. Mwarabu

Ee Bwana, twakuomba upokee vipaji vyetu *2
{ Hivyo vyote ni mali yako
Tumepata kwa wema wako pokea } *2

  1. Mkate na divai twakutolea, twakuomba Baba upokee
  2. Mawazo pia matendo yetu . . .
  3. Twakutolea nan yoyo zetu . . .
  4. Mazao ya mashamba twakutolea . . .
  5. Na fedha za mifuko twakutolea . . .
Ee Bwana Twakuomba Upokee
COMPOSERP. F. Mwarabu
ALBUMViuzeni Mlivyo Navyo
CATEGORYOffertory/Sadaka
MUSIC KEYD Major
TIME SIGNATURE6
8
  • Comments