Nyumbani mwa Bwana Lyrics

NYUMBANI MWA BWANA

@ Emmanuel Kawa

{ Nyumbani - mwa Bwana mna mema
Twendeni - kwa shangwe tumwabudu } * 2
{ Tuchezecheze turukeruke,
Tuimbeimbe, tumsifu Mungu } *2

  1. Tuingie kwa shangwe kubwa, tumwimbie Muumba wetu
    Kwa vinanda tumsifu Mungu
  2. Nyumba yake ni takatifu, ma-kao matakatifu
    Tuingie tumsifu Mungu
  3. Yeye Bwana ni kinga yetu, yeye Bwana ni nguvu yetu
    Pendo lake ni la milele
Nyumbani mwa Bwana
COMPOSEREmmanuel Kawa
CHOIRSt. Don Bosco Kyaani
CATEGORYEntrance / Mwanzo
  • Comments