Yote Yaliyokupata

Yote Yaliyokupata
ChoirTBA
CategoryTBA
ComposerMerriack Kavakule

Yote Yaliyokupata Lyrics

YOTE YALIYOKUPATA


{ Yote yaliyokupata ni mapenzi ya Mungu
Usilalamike wala usivunjike moyo } * 2

 1. Ayubu aliteseka alivumilia
  Hakulalamika wala hakuvunjika moyo
 2. Shida iliyokupata yote itakwisha
  Usilalamike wala usivunjike moyo
 3. Magonjwa uliyo nayo yote yatakwisha
  Usilalamike wala usivunjike moyo
 4. Umepatwa na msiba ni mapenzi ya Mungu
  Usilalamike wala usivunjike moyo
 5. Kazini umefukuzwa zidisha maombi
  Usilalamike wala usivunjike moyo
 6. Ushukuruni kila jambo linalokupata
  Baba yetu wa Mbinguni akungoja pema