Kwa Yesu ni Tambalale
Kwa Yesu ni Tambalale | |
---|---|
Choir | St. Ignatius Veyula |
Album | Kwa Yesu Tambalale |
Category | Tafakari |
Kwa Yesu ni Tambalale Lyrics
Kwa Yesu ni tambalale, tambalale tambalale
Kwa Mungu hakuna milima, tambalale tambalale
(Tambalale)
{ Tambalale tambalale tambalale
(tambalale) tambalale Tambalale hakuna milima,
( kweli tambalale ) } *2
1. Hakuna magonjwa, dhiki wala njaa
Hakuna tatizo, Mbinguni ni raha
2. Hakuna dhuluma, wala ufisadi
Hakuna tajiri, wote kwake sawa
3. Hakuna ulevi, hakuna uzinzi,
Hakuna huzuni, wote ni furaha
4. Mbinguni kwa Baba, makao ni mengi
Tujipange sawa tukaishi naye
Favorite Catholic Skiza Tunes
SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.
Title | SKIZA ID |
Cha Kutumaini Sina | 5814855 |
Roho Yangu na Ikuimbie | 5814859 |
Nikupe Nini Mungu Wangu | 7482438 |
Sasa Wakati Umefika | 7482439 |
Zaeni Matunda Mema | 5814860 |
Nitakwenda Mimi Mwenyewe | 7482440 |
Huniongoza Mwokozi | 5814856 |
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu | 7482444 |
Utukuzwe Ewe Baba | 7482441 |
Tazama Tazama | 7482442 |