Kristu Mshinda

Kristu Mshinda
ChoirShirikisho la Kwaya Katoliki Dsm (Shikwaka)
CategoryKristu Mfalme (Christ the King)
Composer(traditional)
SourceTanzania
Musical Notes
Timesignaturecommon
MusickeyKey G
NotesOpen PDF

Kristu Mshinda Lyrics

Kristu Mshinda, Kristu mfalme,
Kristu Krsitu mtawala1. Msifuni Bwana, enyi mataifa yote,
Msifuni, enyi watu wote

2. Maana fadhili zake kwetu ni kubwa sana
Na uaminifu wake wadumu milele

3. Atukuzwe Baba na Mwana,
Na Roho Mtakatifu

4. Kama mwanzo na sasa na siku zote,
Na milele, amina.

Christus Vincit

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442