Amri Mpya Nawapa Lyrics

AMRI MPYA NAWAPA

@ Renatus Rwelamira

Amri mpya—nawapa ninyi mpendane *2
Kama vile { nilivyowapenda ninyi hivyo
nanyi mpendane hivyo } *2

 1. Hakuna upendo kuliko ule,
  Kutoa uhai kwa ajili ya wengine
  Huo ndio upendo ulio wa kweli
 2. Pendaneni kama nilivyowapenda
  Wapendeni majirani na adui zenu
  Watawatambua kuwa m wafuasi wangu
 3. Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu
  Mkishiriki karamu niliyowaachia
  Ekaristi kuu ishara ya umoja
Amri Mpya Nawapa
COMPOSERRenatus Rwelamira
CATEGORYLove
MUSIC KEYD Major
TIME SIGNATURE2
4
NOTES Open PDF
 • Comments