Bwana Alipokwisha Kula

Bwana Alipokwisha Kula
ChoirSt. Patrick Morogoro
CategoryAlhamisi Kuu

Bwana Alipokwisha Kula Lyrics


{ Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake,
aliwaosha miguu yao, miguu yao } *2

{ Bwana alipokwisha kuwaosha miguu yao
Akaketi tena akawaambia (akisema)
Je mmeelewa haya niliyowatendea
Ninyi mwaniita mwalimu na bwana
Nanyi mwanena vyema (mmenena mmesema vyema)
Basi ikiwa mimi niliye bwana na mwalimu
Nimewaosha miguu yenu } *21. Imewapasa hivyo kuoshana miguu ninyi kwa ninyi
Kwa kuwa nimewapa mfano kamili mmeuona
Kama mimi nilipowatendea nanyi mtende hivyo

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442