Toba Rabbi Nionee Huruma

Toba Rabbi Nionee Huruma
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
ComposerF. B. Mallya

Toba Rabbi Nionee Huruma Lyrics

 1. Toba Rabbi tuonee huruma, sigeuke siwe uso mkali
  Tuletee ya wokovu neema, tutakate tuone ya pili

  Mungu mwokozi Mungu mwema, angalia machozi tuponye salama

 2. Toba rabbi twaogopa hakiyo,tukakosa twaungama
  Twelekee tuonye hurumayo,leo bado utuwie mwema!
 3. Toba Rabbi, kwe tuliotenda madharau maovu mengi mno
  Tumetubu twaomba msaada, tusivunje yetu maagano.
 4. Toba Rabbi, dhambi zikatoboa, moyo wakosadaka ya watu
  Leo kwako, sisi twakimbilia, tutulizwe, uwe raha yetu.