Akawanyeshea Mana

Akawanyeshea Mana
Choir-
AlbumNyumba ya Roho
CategoryTBA
ComposerD. E. Ng'atiwa

Akawanyeshea Mana Lyrics

AKAWANYESHEA MANA

Akawanyeshea mana ili wale *3
Akawapa nafaka ya mbinguni *2


1. Mambo tuliyo yasikia na kuyafahamu ambayo baba zetu walituambia,
hayo hatuwaficha wana wao, huku tukiwaambia kizazi kingine, sifa za Bwana na nguvu zake.

2. Lakini aliamuru mawingu juu akaifungua aha aha
milango oho ya mbinguni akawapa nafaka ya Mbinguni.

3. Mwanadamu akala chakula cha mashujaa aliwapelekea
chakula cha kuwashibisha chakula cha kuwashinisha.

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Zaeni Matunda Mema 5814860
Sasa Wakati Umefika 7482439
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442