Ni Furaha Duniani

Ni Furaha Duniani
Performed by-
AlbumBwana Kafufuka
CategoryPasaka (Easter)
ComposerDeo Mhumbira
Views3,264

Ni Furaha Duniani Lyrics

  1. Ni furaha duniani, Mwokozi kafufuka aee kafufuka
    Ni furaha duniani, Mwokozi kafufuka aee kafufuka

    Asubuhi na mapema (kafufuka)
    Siku ya mwanzo ya juma (kafufuka)
    Ameyashinda mauti (kafufuka)

  2. Njooni tumshangilie Bwana amefufuka aee kafufuka
    Nyimbo nzuri tumwimbie Bwana amefufuka aee kafufuka
  3. Maria Magdalena kaenda kaburini aee kaburini
    Marashi na manemane kaleta kaburini aee kaburini
  4. Malaika kawambia hayuko kafufuka aee kafufuka
    Kawambia wanafunzi hayuko kafufuka aee kafufuka