Chereko Chereko na Vifijo

Chereko Chereko na Vifijo
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumBwana Kafufuka
CategoryPasaka (Easter)
ComposerG. C. Mkude
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
Musical Notes
Timesignature2 4
MusickeyA Major
NotesOpen PDF

Chereko Chereko na Vifijo Lyrics


{ Chereko chereko na vifijo, waumini wote pigeni makofi
Yesu aliyekufa msalabani leo hii amefufuka } * 2
{Tufurahi na tushangilie, Yesu Kristu leo kafufuka
Aleluya tuimbe aleluya } * 21. Kwa maringo tunaimbaimba, kwa maringo tunachezacheza
Twafurahi Bwana Yesu Kristu amefufuka

2. Hoye hoye na nderemo nyingi na vinanda pia tuvipge
Twafurahi ukombozi wetu umetimia

3. Yeye ndiye mshinda mauti, yeye ndiye shujaa wa vita
Yeye ndiye mshinda shetani amefufuka

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442