Aleluya Aleluya Aleluya

Aleluya Aleluya Aleluya
ChoirKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
AlbumNikupe Nini Mungu Wangu
CategoryZaburi
ComposerFr. Mkoba

Aleluya Aleluya Aleluya Lyrics


Aleluya aleluya, aleluya *2
{ Aleluya aleluya, aleluya aleluya
Aleluya aleluya, aleluya } *21. Mungu nirehemu mimi, nirehemu
Sawasawa na fadhili zako Bwana

2. Kwa rehema zako Bwana uyafute
Makosa yangu ee Bwana nitakate

3. Nioshe kabisa Bwana na uovu
Nitakase dhambi zangu na uovu

4. Nakiri makosa yangu, Bwana wangu
Nimekukosea wewe Bwana wangu

5. Niumbie moyo safi, moyo safi
Usinitupe ee Bwana mbali nawe

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Sasa Wakati Umefika 7482439
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442