Muziki Uliokamatana

Muziki Uliokamatana
Choir-
AlbumMlipuko wa Sifa
CategoryUtume wa Uimbaji
ComposerM. Maboko

Muziki Uliokamatana Lyrics

 1. Sifa kwa Mungu, alyeruhusu yafanyike haya
  Sifa kwa Bwana, aliyesema yafanyike haya
  Akatupa sauti aee tuimbe tumtukuze
  Na vipaji aee tuimbe tumsifu
  Sifa kwa Mungu aliyeruhusu yafanyike haya aaha

 2. Kaumba kinanda Mungu eehe
  Aha kayamba na ala zote ee ameumba yeye
 3. Watunzi wa nyimbo wote eehe
  Waimbaji sisi sote ee katuumba yeye
 4. Wapiga vinanda wote eehe
  Wapigao ngoma wote ee kawaumba yeye

  Aee ehe, aeeh tuimbe (tumtukuze) * 4
  Tumpigie muziki, uliopangwa na kukamatana
  Muziki mtakatifu, uliopangwa na kukamatana
  Kwa karama alizotujaza, uliopangwa na kukamatana
  Tumpigie muziki uliopangwa na kukamatana, kamatana, kamatana!