Yuko Galilaya

Yuko Galilaya
Alt TitleGalilaya Ndiko Aliko
Performed by-
AlbumYuko Galilaya
CategoryTBA
ComposerBernard Mukasa
Views3,016

Yuko Galilaya Lyrics

  1. YUKO GALILAYA
  2. Mlichofuata hapa mmepotea,
    Mnayetafuta humu hayumo tena,
    Ikumbukeni kauli yake yeye imetimia leo mapema ona


    Galilaya ndiko aliko
    Amekwenda
    Galilaya ndiko aliko
    Amefufuka,
    Tuimbe kafufuka leo * 2
    Ametangulia,
    Galilaya Galilaya Galilaya
  3. Waliowekwa doria wametimua mbio siwaoni tena
    Na utukufu na ukuu una yeye Bwana hata milele
  4. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema
    Kwa maana fadhili zake ni za milele