Tazama Mimi Namshukuru

Tazama Mimi Namshukuru
ChoirKwaya ya Malkia wa Mitume Parokia ya Vincent Palloti Arusha
AlbumDira
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerVictor Aloyce Murishiwa

Tazama Mimi Namshukuru Lyrics


{Tazama Mimi ninamshukuru Mungu (wangu) (mimi)
Najizungusha, mimi kwa nyimbo za shangwe }* 2
{Twende aiyeye aiyeyeye piga makofi
(Aiye iye) aiyeye aiyeyeye njooni tucheze wote
aiyeye aiyeyeye piga makofi
(Aiye iye) Aiye aiyeyeye tumshukuru Mungu
1. {Tazama Mungu jinsi alivyoniumba,
Jinsi hii ni ajabu na yenye kutisha aha }* 2


2. Nitaimbaje ili wote wasikie,
Zeze rumba, tarumbeta au madowazi aha


3. Nitafurahi mimi nitashangilia,
Kwa furaha nitaimba nyimbo za masifu aha

4.Nakushukuru Mungu kwa kila sauti,
Kinywa changu kitatangaza matendo yako aha

5. Milima yote nanyi mabonde sifuni,
Kwa kinanda na bahari icheze midundo aha

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442