Maombi Yangu

Maombi Yangu
Choir-
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu

Maombi Yangu Lyrics

 1. {Maombi yangu yafike mbele zako,
  utegee ukelele wangu, ee Bwana
  Utegee ukelele wangu sikio lako, sikio lako ee Bwana } * 2

 2. Ee Bwana ee Mungu wa wokovu wangu
  Mchana na usiku nimelia nimelia, mbele zako
 3. Maana nimekuita mimi kila siku
  Ninakunyooshea mikono yangu, mikono yangu, mikono yangu
 4. Lakini lakini mimi nimekulilia wewe Bwana
  Na asubuhi maombi yangu maombi yangu yatakuwasilia