Bali Mimi Nikutazame

Bali Mimi Nikutazame
ChoirKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
AlbumNikupe Nini Mungu Wangu
CategoryZaburi
ComposerDeo Mhumbira
Musical Notes
Timesignature2 4
MusickeyG Major

Bali Mimi Nikutazame Lyrics

{ Bali mimi nkutazame uso wako (katika haki)
Niamkapo nishibishwe kwa sura yako } * 2


1. Ee Bwana usikie haki ukisikilize kilio changu
Utege sikio lako kwa maombi yangu

2. Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako ee Bwana wangu
Hakika hatua zangu hazikuondoshwa

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442