Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu
Choir-
AlbumKila Kunapokucha
CategoryZaburi
SourceMwanza
ReferenceZab 23

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu Lyrics


{Bwana ndiye mchungaji wangu,
Sitapungukiwa na kitu, sitapungukiwa
{sitapungukiwa, Sitapungukiwa na kitu, sitapungukiwa} * 2
{
(Katika majani) katika majani mabichi hunilaza
(Kando ya maji) Kando ya maji ya utulivu huniongoza} * 2
{Aiye aiyelele iyele
Aiye aiyelele iyele
Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu } *21. Huniuhuisha nafsi yangu, na kuniongoza
katika njia za haki kwa ajili ya Jina lake, Bwana ndiye

2. Au nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti
sitaogopa mabaya sitaogopa, Bwana ndiye

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442