Ee Bwana Mwumba wa Vitu

Ee Bwana Mwumba wa Vitu
Choir-
AlbumKila Kunapokucha
CategoryZaburi

Ee Bwana Mwumba wa Vitu Lyrics

 1. {Wewe Bwana Muumba wa vitu vyote wewe ni wa kutisha
  Na mwenye nguvu papo hapo mwingi wa huruma na haki } * 2
  {Wewe peke yako ni mfalme, na wewe peke yako ni mfalme
  Hapana aliye mwema ila wewe Bwana } * 2

 2. Hapana aliye na fadhili na atendaye sawa ila wewe
  Wewe ndiwe mwenye nguvu tena na mwenye nguvu na wa siku zote
  Wewe wawaokoa waisraeli katika uovu wote
  Ulichagua watu wazee na kuwaweka wakikuu
  Ipokee dhabihu tunayokutolea kwa niaba ya watu
 3. Na uwakusanye watu wetu waliotawanyika duniani
  Uwaachilie wale walio utumwani nchi za kigeni
  Na uwaangilie kwa huruma watu wanyanyasikao
  Pia waangalie kwa huruma watu wadharauliwao
  Uwafanye mataifa watambue wewe Mungu wetu