Bwana ni Nuru Yangu

Bwana ni Nuru Yangu
ChoirKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
AlbumNikupe Nini Mungu Wangu
CategoryZaburi
ComposerDeo Mhumbira
Musical Notes
Timesignature2 4
MusickeyD Major
NotesOpen PDF

Bwana ni Nuru Yangu Lyrics


{ Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, nimwogope nani
Bwana ni ngome ya uzima wangu, nimhofu nani } *2


1. Watesi wangu na adui zangu, walijikwaa wakaanguka
Jeshi lijapo kupigana nami, moyo wangu hautaogopa

2. Vita vijaponitokea hata hapo nitatumaini
Neno moja nalitaka kwa Bwana, nalo ndilo nitalitafura

3. Nikae nyumbani mwa Bwana, siku zote za maisha yangu
Niutazame uzuri wa Bwana na kutafakari hekaluni mwake

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442