Ee Bwana Nimekuita

Ee Bwana Nimekuita
Choir-
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania

Ee Bwana Nimekuita Lyrics


Ee Bwana ee Bwana, nimekuita kwa maana utaitika
{Utege sikio lako utege sikio lako usikie neno neno langu } * 21. Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho
Unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako

2. Ee Bwana kwa mkono wako wa kuume
Uniokoe nao wanaoondokea

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442