Nimekutumaini Wewe

Nimekutumaini Wewe
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerJoseph Makoye
Views3,695

Nimekutumaini Wewe Lyrics

  1. Nimekutumaini wewe e Bwana,
    nimekutumaini wewe ee Bwana
    Nimesema wewe u Mungu wangu,
    siku zangu zimo mikononi mwako

  2. Nimekukimbilia wewe ee bwana
    Nisiaibike milele, kwa haki yako yako uniponye
  3. Wewe ndiwe genge langu na ngome yangu
    kwa ajili ya jina lako, uniongoze unichunge
  4. Wewe ni nuru yangu unimulike
    wewe ndiwe wokovu wangu, uniokoe na adui