Ni Mpango wa Mungu Lyrics

NI MPANGO WA MUNGU

{Ni mpango wa Mungu Baba, kuniumba hivi nilivyo
Na jinsi alivyoniumba, ili yeye atukuzwe } * 2

 1. Tazama mimi ni kipofu, nawe mwenzangu unaona
  Ni mpango wa Mungu Baba ili kwa hilo atukuzwe
 2. Tazama mimi ni kiwete, nawe mwenzangu watembea
  Ni mpango wa Mungu Baba ili kwa hilo atukuzwe
 3. Tazama mimi ni mweusi, nawe mwenzangu ni mweupe -
  Tazama mimi ni mfupi, nawe mwenzangu ni mrefu -
 4. Tazama mimi maskini, nawe mwenzangu ni tajiri -
  Tazama unao watoto, bali mimi nawatafuta -
Ni Mpango wa Mungu
ALBUMMilele Milele Nitakusifu
CATEGORYTafakari
 • Comments