Tumekuwa Mashujaa

Tumekuwa Mashujaa
Choir-
CategoryUbatizo
ComposerJoseph Makoye

Tumekuwa Mashujaa Lyrics

  1. Tumekuwa mashujaa wa Bwana Yesu * 2
    Tumekuwa mashujaa wa Bwana Yesu * 2

  2. Roho wa Mungu awe nasi siku zote
    Atujalie paji hekima
  3. Roho wa Mungu awe nasi siku zote
    Atujalie paji la elimu
  4. Roho wa Mungu awe nasi siku zote
    Atujalie paji la utashi