Login | Register

Sauti za Kuimba

Mwimbieni Bwana Wimbo Lyrics

MWIMBIENI BWANA WIMBO

{Mwimbieni Bwana wimbo mpya kwa maana ametenda (ametenda)
Kwa maana ametenda (ametenda) ametenda mambo ya ajabu
Ametenda mambo ya ajabu, ametenda mambo ya ajabu } * 2

 1. Mkono wa kuume wake mwenyewe, mkono wake mtakatifu
  umemtendea wokovu, umemtendea wokovu, umemtendea wokovu
 2. Bwana ameufunua wokovu machoni pa mataifa yote
  Ameyadhihirisha haki, kadhihirisha haki yake, kadhihirisha haki yake
 3. Amezikumbuka rehema zake na uaminifu wake wote
  Katika nyumba ya wana wana wake wa Israeli, wana wake wa Israeli
 4. Mshangilieni Bwana nchi yote inueni sauti zenu
  Imbeni kwa furaha kubwa, imbeni imbeni zaburi, imbeni imbeni zaburi
Mwimbieni Bwana Wimbo
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMKwa Wingi wa Fadhili
CATEGORYZaburi
SOURCESt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
 • Comments