Yesu Akawaambia

Yesu Akawaambia
ChoirTBA
AlbumNikupe Nini Mungu Wangu
CategoryTBA
ComposerJ. Kessy

Yesu Akawaambia Lyrics

YESU AKAWAAMBIA


{Yesu akawaambia, amini nawaambieni
Msipoula mwili wake mwana wa Adamu,
Na kuinywa damu yake hamna uzima ndani yenu } * 2

  1. Yule aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu
    Anao uzima wa milele
  2. Chakula nikitoacho ndio mwili wangu
    Kuleni mpate kuokoka
  3. Hiki ni chakula kweli pia na damu yangu
    Vilivyoshuka kutoka Mbinguni