Ninajisikia Furaha

Ninajisikia Furaha
ChoirTBA
AlbumTufurahi
CategoryGeneral
ComposerGabriel C. Mkude

Ninajisikia Furaha Lyrics

Ninajisikia furaha ninapolitaja
Na ninapolisifu jina lako ee Mungu wangu

  1. Jina lako ndilo kuu, jina lako ni uzima
    Jina lako ndiyo roho iletayo nuru
  2. Jina lako li tukufu, jina lako takatifu
    Malaika wanaliimbia kwa furaha
  3. Jina lako laniponya, jina lako lanilinda
    Jina lako nikitaja napata faraja

Favorite Catholic Skiza Tunes