Bwana Ndiye Mchungaji

Bwana Ndiye Mchungaji
ChoirSt. Monica Lower Kabete Campus UoN
AlbumUwe Nami Bwana
CategoryZaburi
ComposerJohnBosco Hosea

Bwana Ndiye Mchungaji Lyrics

 1. Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa (mimi)
  Katika majani mabichi Bwana hunilaza
  (Kando ya maji yenye utulivu huniongoza x2)

 2. Huihuisha nafsi yangu na kuniongoza
  Kwenye njia za haki, kwa jina lake x2
 3. Umeandaa meza mbele yangu ee Bwana
  Umeandaa machoni pa watesi wangu x2
 4. Umenipaka mafuta kichwani pangu Bwana
  Kikombe changu kimejaa kinafurika x2
 5. Wema wako fadhili zako zitanifuata,
  Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana millele x2