Lugha ya Muziki

Lugha ya Muziki
Choir-
CategoryUtume wa Uimbaji
ComposerVictor Aloyce Murishiwa

Lugha ya Muziki Lyrics

 1. Nimesikia nyimbo nzuri za kumsifu Mungu
  mi fa so do ti la so mi Lugha ya muziki
  Nimependezwa sana mimi kumuimbia Mungu
  mi fa so do ti la so mi Lugha ya muziki

  Waimbaji wanaimba, nyimbo nzuri tamu tamu
  Utukufu wake Mungu, atukuzwe Mungu so so Mungu wetu
  Malaika wanaimba nyimbo nzuri tamu tamu utukufu wake
  Mungu atukuzwe Mungu so so Mungu wetu

 2. Kwa lugha ya muziki Mungu asikia kuomba kwetu
  Kwa lugha ya muziki Mungu asikia na sala zetu
 3. Kwa lugha ya muziki Mungu analeta faraja kwetu
  Kwa lugha ya muziki Mungu analeta upatanishi
 4. Kwa lugha ya muziki Mungu analeta furaha kwetu
  Kwa lugha ya muziki Mungu huondoa hasira kwetu
 5. Kwa lugha ya muziki Mungu atuweka karibu naye
  Kwa lugha ya muziki Mungu atuliza mateso yetu