Msisumbuke Basi

Msisumbuke Basi
ChoirMaria Mt Mama wa Mungu Musoma
AlbumSilegei
CategoryMafundisho ya Yesu
ComposerMarcus Mtinga

Msisumbuke Basi Lyrics


Msisumbuke, msisumbuke basi mkisema tule nini au tunywe nini au tuvae nini
Kwa sababu hayo yo-te mataifa huyatafuta-
Kwa sababu Baba yenu wa Mbinguni anajua kuwa mwayahitaji ha-yo yote
{Bali utafuteni kwanza, ufalme wake,
Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake
Na ha-yo yote, na ha-yo yote mtazi-dishiwa mtazidishiwa } *21. Ni yu-pi kwenu ambaye akijisumbua,
Aweza kujiongeza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja
Basi ikiwa hamuwezi neno lililo dogo,
Kwa nini kujisumbua kujisumbua kwa ajili ya-yale mengine

2. Yatafakarini maua jinsi yameavyo,
hayatendi kazi hayatendi kazi hayatendi wa-la hayasokoti
nami nawaambieni hata Suleiman katika fahari yake yote
Hakuvikwa hakuvikwa vizuri kama moja wapo ya hayo

3. Basi ikiwa Mungu huvika hivi majani ya kondeni
Yaliyopo leo yaliyopo leo na kesho hutupwa karibuni karibuni
Je hatawatendea nyinyi zaidi
Enyi wa imani haba imani haba enyi wa imani haba

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442