Jongeeni Tuingie

Jongeeni Tuingie
Performed by-
CategoryEntrance / Mwanzo
Views3,799

Jongeeni Tuingie Lyrics

  1. { Jongeeni tuingie nyumbani mwa Baba *2
    Twende twende twendeni, nyumbani kwa Baba } *2

  2. Twendeni sote, nyumbani mwa Baba
    Twende kwa furaha, nyumbani mwa Baba
    Twendeni sote, nyumbani mwa Baba
    Twende kwa heshima nyumbani mwa Baba
  3. Twendeni sote, nyumbani mwa Baba
    Twende kumwabudu nyumbani mwa Baba
    Twendeni sote, nyumbani mwa Baba,
    Twende kumtukuza nyumbani mwa Baba
  4. Twendeni sote, nyumbani mwa Baba,
    Twende kumshukuru nyumbani mwa Baba
    Twendeni sote, nyumbani mwa Baba,
    Twende kumsujudu nyumbani mwa Baba