Inasonga Mbele Injili

Inasonga Mbele Injili
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views21,880

Inasonga Mbele Injili Lyrics

  1. { Inasonga mbele injili, inasonga,
    Inasonga mbele injili inasonga mbele } *2

  2. Kwa vijana inasonga . . .
    Kwa wazee Inasonga . . .
  3. Kwa wamama Inasinga . . .
    Kwa wababa inasonga . . .
  4. Kwa mapadri inasonga . . .
    Kwa watawa inasonga . . .
  5. Kwa wakristu inasonga . . .
    Kwa watu wote inasonga . . .
  6. Kwa kanisa inasonga . . .
    Kwa chuo chetu inasonga . . .