Kinywa Changu Kitasimulia

Kinywa Changu Kitasimulia
Choir-
CategoryZaburi
ComposerAlex Nkanda

Kinywa Changu Kitasimulia Lyrics


{ Kinywa changu kitasimulia haki
na wokovu wako,
kitasimulia haki na wokovu wako } *2


1. Nimekukimbilia ewe Bwana nisiaibike milele

2. Ndiwe peke yako kinga langu,
unikinge Bwana na mkorofi.

3. Nimekukimbilia wewe Bwana nisiabike milele

4. Mikononi mwako Bwana niokoe,
unisikie Bwana, uniokoe

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442