Mambo Yote Yamo

Mambo Yote Yamo
Choir-
CategoryZaburi
Composer(traditional)
ReferenceEst 10.3; Zab 102
Musical Notes
Timesignature4 4
MusickeyG Major

Mambo Yote Yamo Lyrics


Mambo yote yamo, Bwana,
Katika mapenzi yako *2


1. Wala hakuna awezaye kupigana na mapenzi yako.

2. Kwa maana ndiwe/uliyeumba yote.

3. Uliumba mbingu/uliumba dunia.

4. Wewe ndiwe Bwana/ndiwe Bwana wa vyote.

5. Jina lako lakumbukwa/na vizazi vyote.

6. Mbingu na dunia zitatoweka/lakini wewe utabaki.

7. Na maisha yako/hayana mwisho.

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442