Login | Register

Sauti za Kuimba

Bwana Kote Ninakotazama Lyrics

BWANA KOTE NINAKOTAZAMA


  1. Ah-ah, ah-ah-ah! - ah-ah, ah-ah-ah! *2
   Bwana kote ninakotazama, nauona uwezo wako *2
   { Bwana kote ninakotazama,
   Nauona uwezo wako na mkono wako ewe Mungu wa majeshi,
   Ninakotazama nauona uwezo wako! } *2
  2. Bwana kote ninakotazama, Bwana { ninakotazama } *3
   Ah-ah, ah-ah-ah!
  3. Bwana kote ninakotazama,
   Nauona uwezo wako na mkono wako ewe Mungu wa majeshi,
   Nikitazama nauona uwezo wako ewe Mungu wa majeshi,
  4. Aaah aaah aaah . . .
  5. Nikitazama mabonde na milima
   (Ah-ah, uh-uh-uh, naona uwezo wako)
   Nikitazama mito na bahari
   (Ah-ah, uh-uh-uh, naona uwezo wako)
   Nikitazama samaki na ndege wa angani
   Ah-ah, uh-uh-uh, naona uwezo wako -oh
   Ah-ah, uh-uh-uh, naona uwezo wako -oh
  6. Vi-umbe vya dunia, vyatangaza utukufu wako
   Sayari, jua nyota na mwezi, vyatangaza utukufu wako
   Na vyo-te ulivyoumba, vyatangaza utukufu wako
   Nasi sote kwa nyimbo pia vigelele, tuutangaze utukufu wako
  7. Bwana kote ninakotazama, (Ninakotazama) *3
   Nauona uwezo wako na mkono wako ee Mungu wa Majeshi,
  8. (Bwana) *6 ninakotazama nauona uwezo wako na mkono wako
   Oh oh oh *5
   Kote ninakotazama *3
   Nauona, u-we-zo wa-ko!
Bwana Kote Ninakotazama
CHOIRSt. Paul's Community Choir Nrb
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
 • Comments