Njoo kwetu Masiha (njoo) njoo Bwana, utuokoe *2
- Utuhurumie sisi wadhambi / tunakulilia, 'tusikilize.
- Nguvu za shetani zimetubana/ njia ya uwingu haipitiki.
- Utufungulie mlango wa mbingu/ na kuyatakasa maovu yote.
- Nazo dhambi zetu zimetusonga/ kamba za mauti zatuzunguka.
- Ee yesu Masiya, mwenye huruma/ njoo hima, Bwana utuokoe.
|
|
|