Katika Mji Ule

Katika Mji Ule
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)

Katika Mji Ule Lyrics

 1. Katika mji mwema mbinguni kwa Mungu
  Ndiko ahadi zetu ziendako *2

  Mji wangu wa huko mbinguni juu,
  Nikiuona ninautamani.
  Furaha ya dhambi yanitia giza,
  Nitauona lini mji mwema *2

 2. Ninatamani sana kwenda mji huo *2
  Ambako nitaishi bila shida *2
 3. Mwokozi wetu Yesu naye asikia *2
  Yale maombi yetu tuombayo *2
 4. Usikose kuomba Yesu, asikia *2
  Naye atatufikisha, Mbinguni *2